Tomtop >   thl     >

WAZAZI tunajua Darasa la NNE wanaanza MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA tarehe 22-11-2018,   

WAZAZI tunajua Darasa la NNE wanaanza MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA tarehe 22-11-2018, Mungu awabariki wafanye vizuri
WAZAZI tunajua Darasa la NNE wanaanza MTIHANI WA UPIMAJI WA KITAIFA tarehe 22-11-2018, Mungu awabariki wafanye vizuri

1. Asome na kusikiliza maelekezo kwa uangalifu. 2. Ahakikishe ameandika Jina lake na Jina la shule kwa usahihi kwenye karatasi yake ya kujibia mtihani. 3. Ajibu maswali anayoyaelewa vizuri kwanza. Maswali magumu atayajibu mwisho. 4. Karatasi yake ya kujibia mtihani ni kitu muhimu sana, asiichafue au kuilowanisha. 5. Baada ya kumaliza mtihani, ahakikishe amejibu maswali yote anayotakiwa kujibu. 6. Mwisho amshukuru Mungu kwa maombi. Kwa sababu alisoma vizuri atafaulu tu. Nawapenda wote na naamini hayo niliyowaandikia yatawasaidia kwa namna moja au nyingine kwenye mtihani wao. Jacob Noel Urasa - Mwanzilishi wa tHL 展开

Published Date:11/16/2018 3:22:41 PM    From:Facebook   

Click to see thl's products of TomTop。



Relevant Brands:
#THL Smartphones    #thl    

Lixada| Best To Buy 2020|