Mambo muhimu ya kuzingatia kwa wanafunzi wote wanaojiandaa na MTIHANI WA TAIFA Form IV, II na Darasa la nne PIA na mitihani ya kawaida ya mwisho wa mwaka: 1. Jiandae mapema kwa kufanya Revision kwenye yale mambo ya muhimu kwa kila somo. Pia HAKIKISHA unafanya mazoezi ya kutosha kwa kila somo NDIO YATAKUFANYA USISAHAU KIRAHISI NA KUKUPA UZOEFU WA MASWALI YA MTIHANI. Ndani ya tHL app kuna mazoezi mengi ya kujipima. 2. Pima uwezo wako na angalia masomo ambayo una udhaifu kisha f...anya mazoezi mengi zaidi kwenye masomo hayo. Pata majaribio ya ziada ya kujipima install tHL app ina Review Questions zaidi ya 20,000 za kila somo SECONDARY na PRIMARY, na ukishafanya program inasahihisha na kukupa MAJIBU sahihi pale unapokosea. Kuinstall nenda Play Store seach tHL 2.0 Revised edition install
AU kwa computer download hapa
. PIA UKIWA NA SWALI LA MASOMO USILOLIWEZA ULIZA KWENYE tHL app UTAJIBIWA. Msaada Jinsi ya kuinstall Contacts 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo.
3. Kwa masomo ya SAYANSI Practicals zipo kwenye tHL app(Videos na Maelekezo)
4. Jali sana afya yako wakati huu wa maandalizi. Usichelewe sana kulala, kula chakula na kunywa maji safi na salama na tumia neti ya mbu wakati wa kulala. Omba Mungu kila siku naye ataendelea kukupa afya njema. See More