Washindi wa simu ya tHL yenye Wireless Charger, RAM 4GB, ROM 64GB, Screen yake ni 6 inch HD+ 18:9 Full screen. 1. James Emmanuel Tibaizuka, Askari polisi Ndanda Masasi Mtwara: Mzazi anayetumia tHL kufundisha watoto wake. 2. Richard Joseph, Mwanafunzi wa University of iringa, Mwaka wa Pili diploma ya Account: Anatumia tHL app kujisomea masomo ya chuo. KUSHIRIKI SHINDANO HILI ingia kwenye tHL app uweze kushiriki. tHL app sasa ina MASOMO ya Primary, Secondary, Certificate, Diplo...ma, Ufundi, Degree, Online English Course, Videos za Practicals, Counselling na elimu ya Biashara. Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install.
AU Kwa computer download hapa
MZAZI SOMA NA MWANAO kupitia tHL, wazazi waliotumia tHL kusoma na watoto wao imewezesha watoto kufanya vizuri sana shuleni. 展开