Tomtop >   thl     >

Ni kawaida mtu kutamani kuwa na FURAHA na kuachana na HOFU na MSONGO WA    


Ni kawaida mtu kutamani kuwa na FURAHA na kuachana na HOFU na MSONGO WA MAWAZO lakini inashindikana na kuishia kukata tama ILA Unaweza kuachana na HOFU na KUKOSA FURAHA kwa kubadili Tabia. Tabia ambazo mtu amekuwa nazo kwa muda mrefu, tayari huwa ZIMESHAUFUNDISHA MWILI NAMNA YA KUTOA HISIA BILA KUFIKIRI. Mfano: kama umekuwa na tabia za Hofu, Malalamiko, chuki, na tabia nyingine zinazofanana na hizo, MWILI WAKO ULISHAZOEA KUWA NA HISIA HIZO hata kama huzitaki. Hivyo basi kuach...ana na hisia hizo unapaswa kuufundisha mwili kuwa na HISIA MBADALA. Na zoezi hilo linahitaji muda. Somo hili ni refu Limefafanuliwa KISAYANSI na kwa kina sana kwenye tHL app. Ndani ya tHL app kuna video za ufahamu na mada za cancelling ambazo zimewafungua watu wengi kwenye vifungo vya tabia vilivyowatesa kwa muda mrefu. Jinsi ya ku-install tHL app: Nenda play store SERACH tHL kisha install. AU Kwa computer download hapa . Maelekezo zaidi Contacts tHL: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo. 展开

Published Date:4/20/2019 7:00:07 AM    From:Facebook   

Click to see thl's products of TomTop。



Relevant Brands:
#THL Smartphones    #thl    

Lixada| Best To Buy 2020|