PRE – FORM ONE & ENGLISH COURSE – 2019 (YOUTH EDUCATION PROGRAM 2019). VITUO VYETU: Dar es Salaam 1. Oyster Bay. ... Tupo karibu na kanisa la St. Peter Mkabala na shule ya msingi Mbuyuni. Kwa mawasiliano zaidi tupigie: 0672 - 696436 au 07581872750 2. ST. ROGER’S MODERN OPEN ACADEMY Kimara Baruti – jirani na stendi ya mwendokasi karibu na duka la dawa la jumla la zamani tumepakana pia na St. Glory (Theoflo nursery school) Kwa mawasiliano zaidi tupigie: 0714 – 848411 au 07581872750 Masomo tunayofundisha ni:- 1. Basic Mathematics 2. Physics 3. Chemistry 4. Biology 5. English Grammar, 6. English – conversation Ada zetu ni shilingi elfu sitini (60,000) kwa miezi mitatu ila kwa watumiaji wa tHL app watalipa shs 55,000/= badala ya shs 60,0000 kwa miezi mitatu. Ofa: T- Shirt, madaftari, peni, rula, penseli n.k ni bure Masomo yataanza tarehe 16/9/2019 Muda ni kuanzia saa 2 asubuhi na kuendelea. Karibuni sana. 展开
Published Date:9/13/2019 11:24:29 AM From:Facebook