Mfumo wa tHL Accounting utazinduliwa rasmi tarehe 21-10-2019 na utaanza kupatikana online.
Mfumo wa tHL Accounting utazinduliwa rasmi tarehe 21-10-2019 na utaanza kupatikana online. Ni mfumo wa kisasa sana wenye sifa zifuatazo: 1. Ni rahisi kutumia popote ulipo kwa Simu au Komputa, 2. Ni salama, 3. Unaongoza Maeneo yote ya biashara (Mali, Mtaji, Stocks, Mapato, Matumizi, kukokotoa Faida na Hasara, Kufuatilia Unaowadai, Wanaokudai, Malipo, n.k), 4. Unaongeza uaminifu kati ya mwenye biashara na aliowaajiri, 5. Ripoti zake zina hadhi ya kimataifa na zinazingatia International Financial Reporting Standards (IFRS), 6. Gharama yake ni Nafuu na kwa siku 14 unaujaribu bure, 7. Watumiaji watapata Support masaa 24 kila siku bure. tHL accounting ni zaidi ya software.
Published Date:10/15/2019 7:16:17 PM From:Facebook