Brand New Laptops: Kuanzia Jumanne tarehe 14/01/2020 watumiaji na wadau
Brand New Laptops: Kuanzia Jumanne tarehe 14/01/2020 watumiaji na wadau wengine wa tHL wataanza rasmi kujipatia laptops mpya za aina ya HP, DELL na Lenovo kupitia tHL kwa bei nafuu sana na zenye uwezo mzuri na warrant ya uhakika ya mwaka mzima. Hii itawawezesha watumiaji wa mfumo wa tHL Accounting na wafanyabiashara wengine kuratibu biashara zao kirahisi na kisasa. Pia itawawezesha watumiaji wa tHL app kupata masomo ya Vyuo, Secondary na Primary kirahisi.
ZITAKUWA MASHINE ZA UHAKIKA zenye specification nzuri mno. Kaeni tayari kujipatia laptop mpya ndani ya box kwa bei nafuu kila mhitaji atamudu. Sio mbali ni Jumanne tarehe 14/01/2020.
Published Date:1/11/2020 11:19:04 AM From:Facebook