Tomtop >   thl     >

Jifunze kuelimisha na sio Kuhukumu. Hakuna Mtu mkamilifu hivyo kuwahukumu    


Jifunze kuelimisha na sio Kuhukumu. Hakuna Mtu mkamilifu hivyo kuwahukumu wengine ni dhahiri tunafanya makosa. Kuendelea kushikilia HASIRA/CHUKI juu ya mtu/watu, inakufanya kuwa mfungwa/mtumwa wa mtu huyo.Hasira/chuki ni tabia HASI, huwezi ondoa tabia HASI kwa kutumia tabia HASI nyingine. Unaweza fikiri umetatua jambo kwa hasira/chuki lakini HUZAA tatizo lingine kubwa zaidi KAMA magonjwa, msongo wa mawazo na kusambaa kwa chuki kwenye jamii. One Love.

Published Date:9/19/2018 5:42:03 PM    From:Facebook   

Click to see thl's products of TomTop。



Relevant Brands:
#THL Smartphones    #thl    

Lixada| Best To Buy 2020|