Kila Mototo/Mwanafunzi ana akili(genius) na uwezo mkubwa wa kuelewa MASOMO, LAKINI TUNAYO CHANGAMOTO watoto/wanafunzi kutotambua wana uwezo huu Mwanafunzi anapofundishwa darasani anapaswa: 1. Kumsikiliza Mwalimu, 2. Kuuliza maswali kama kuna mahali hajaelewa, 3. Kujadili mada na wenzake pale inapobidi, 4. Kufanya Revision, 5. Kufanya mazoezi ya kutosha kwa kila somo ILI kupima uelewa, Kusaidia kuhifadhi kumbukumbu NA KUMPA UZOEFU WA MASWALI YA MITIHANI. Tunawashauri Waalimu na Wanafunzi tumieni tHL app, ina Maswali maelfu ya wanafunzi kujipina na humsahihishia mwanafunzi yenyewe. Pia ina Masomo ya ziada na Videos za Practicals na Masomo yote ya Secondary na Primary. Jinsi ya ku-install tHL app: Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install.
AU Kwa computer download hapa
Maelekezo zaidi Contacts 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038.
Jacob Noel Urasa - Mwanzilishi wa tHL
ONE LOVE 展开