Tomtop >   thl     >

Mfumo wenye usalama wa kipekee wa kuendesha na kuratibu bishara ni Mfumo    


Mfumo wenye usalama wa kipekee wa kuendesha na kuratibu bishara ni Mfumo wa tHL Accounting Ndani ya mfumo huu unaweza kuwezesha "Security Manager" kwenye settings inayokupa mtumiaji usalama wa kipekee ambao hata kama mtu akipata user name na password ya user yeyote wa account yako, bado hataweza kuingia kwenye account yako ya tHL Accounting. Pia kupitia "Security Manager" unaweza amua ikitokea user wako au mtu yoyote anajaribu kuingia kwenye account... yako kwa kutumia kifaa ambacho hujakiruhusu mfumo unazuia kifaa hicho na kukupa taarifa kwa SMS. Kupitia uwezo huu wa "Security Manager" sasa unaweza kuamua users wako wafungue mfumo wakiwa ofisini kwako tu au computer au simu ulizoruhusu tu, hii inazuia mfumo kufunguka nje ya vifaa ambavyo hujaviruhusu na haijalishi hata kama mtu ana user name na password. Pia unaweza kuamua users waweze kuingia kwenye account yako kuanzia saa fulani mpaka saa fulani tu au kuzuia account yako muda fulani mtu yeyote pamoja na users wasiweze kuingia. Hata kama mtu akiingilia simu au email uliyosajilia account bado hawezi kuingia kwenye account yako ya tHL Accounting au kubadili password. Pia mfumo unakupa uwezo wa kuzuia users wako kuhifadhi user name na password kwenye browser kuepuka mtu asiye na ruhusa kuingia kwenye mfumo kwa kutumia user name na password zilizokumbukwa kwenye browser. tHL Accounting "Security Manager" ni namba one hakuna mfumo mwingine wowote duniani wa kihasibu kwa sasa unawezo kukupa aina ya usalama wa mfumo wa tHL Accounting. USE tHL Accounting with peace of mind. Maelekezo zaidi: 0784 786651, 0784 787759, 0784 786380, 0787 999448, 0754 612957, 0757 492267, 0755297783. Kuupata mfumo wa tHL Accounting ingia See More

Published Date:9/14/2020 5:48:45 PM    From:Facebook   

Click to see thl's products of TomTop。



Relevant Brands:
#THL Smartphones    #thl    

Lixada| Best To Buy 2020|